HAPAHAPA BONGO;mean right now Tanzania. Website hii imetengenezwa hapahapa katika nchi yenye amani tele na vivutio mbalimbali kama mlima mrefu wa pili duniani(KILIMANJARO) na maziwa makuu mengi kama Ziwa Victoria,Tanganyika,Nyasa,Manyara na mengine mengi;

Hapahapa Bongo
Guestbook Bongo
Zoology
=> Animals
Botany
Fashion
News
Mwafrika
Education
Contact Friends/Marafiki
Sports/Michezo

BONGOLAND;Utalii ambao huta usahau maishani mwako pata maelezo kwa waliotembelea,Kama utshindwa kabisa unaweza jione wanyama katika website hii,Ambao wanapatikana.Karibu na ufurahi.



giraffe.jpg



<-Back

 1  2  3 Continue -> 

Rating: Not rated yet
Your rating:



<= Back to category
ZOOLOGY ;is a branch of science that focuses on the study of animals(ni sayansi inayohusiana na wanyama hapa tutaangalia zaidi wanyama pori hususani waliopo katika hifadhi za wanyama za Tanzania na Afrika kwa ujumla kama Kenya,Uganda,Republic ya Watu wa Congo,South Africa n.k, BOTANY;is the scientific study of plants(mimea adimu ambayo haipatikani kirahisi kwa sasa katika mazingira yetu yenye kuvutia,Inayopatikana katika bara la Afrika. DRESSING (mavazi);namna watu wa tamaduni tofauti wanavyovaa katika bara la Afrika n.k NEWS(habari);International news and local news(habari kuhusiana na watoto yatima nakuendelea
BONGO TANZANIA;Nikizungumzia wanyama mwitu kivutio halisi akuna asiyejua umahiri wa nchi hii kwa hifadhi zenye wanyama wazuri wanaovutia.Ajabu la Dunia Ngorongoro Cretar picha inapatikana pia wanyama wa mbuga hizo wapo apo.Baadhi ya mbuga hizo ni Ngorongoro,Serengeti,Mikumi,Manyara,Tarangire n.k Tembelea ujionee. This website was created for free with Own-Free-Website.com. Would you also like to have your own website?
Sign up for free