BONGOLAND;Utalii ambao huta usahau maishani mwako pata maelezo kwa waliotembelea,Kama utshindwa kabisa unaweza jione wanyama katika website hii,Ambao wanapatikana.Karibu na ufurahi.
|
 |
 |
 |
Angalia picha zote za wanyama,mimea,mavazi pia usome habari kisha utoe maoni yako hapo kwenye kitabu cha wageni kumbuka maoni yako ni ya msingi sana katika kuboresha webpage hii,Pia ukitaka kudesigniwa website kama hiii niandikie.Maoni yatafanyiwa kazi usisite kuandiaka,karibu tena.
|
|
|
 |
|
 |
 |
ZOOLOGY ;is a branch of science that focuses on the study of animals(ni sayansi inayohusiana na wanyama hapa tutaangalia zaidi wanyama pori hususani waliopo katika hifadhi za wanyama za Tanzania na Afrika kwa ujumla kama Kenya,Uganda,Republic ya Watu wa Congo,South Africa n.k,
BOTANY;is the scientific study of plants(mimea adimu ambayo haipatikani kirahisi kwa sasa katika mazingira yetu yenye kuvutia,Inayopatikana katika bara la Afrika.
DRESSING (mavazi);namna watu wa tamaduni tofauti wanavyovaa katika bara la Afrika n.k
NEWS(habari);International news and local news(habari kuhusiana na watoto yatima nakuendelea
|
 |
|